Dira
Kuwa na Wizara yenye kutoa huduma bora kwa wadau wake wote.
Dhamira
Kuweka mkazo katika kufanyakazi kwa juhudi na maarifa, elimu, utawala bora na matumizi bora ya rasilimali kama nyenzo muhimu za kuiwezesha Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kufikia azma yake ya kutoa huduma zenye ubora wa juu kwa wadau wake wote.