1. KITENGO CHA MANUNUZI NA UGAVI

Majumkumu

 1. Kukusanya taarifa kwa ajili ya kutayarisha mpango wa manunuzi.
 2. Kukusanya taarifa za mahitaji ya ununuzi.
 • Kudhibiti daftari la taarifa za zabuni.
 1. Kuhifadhi kumbukumbu zote za manunuzi ya taarifa za mali chakavu.

 

 1. KITENGO CHA UHASIBU

Majukumu

Kutekeleza majukumu ya usimamizi wa mifumo ya fedha kwa mujibu wa taratibu zinazo zingatia maadili na kutoa huduma zenye kiwango za utunzaji mahesabu.

Kazi za Kitengo

 1. Mishahara
  • Kuandaa malipo ya mishara na makto ya kisheria.
  • Kusimamia msihahara
  • Kusimamia bajeti ya mishahara na stahili za watumishi
  • Kutunza kumbukumbu za mahesabu
 2. Ofisi ya Malipo

Kuwasilisha Ankara za malipo / kusimamaia hundi toka Hazina/ Ripoti za Fedha nk

 1. Ofisi ya Mapato
  • Kukusanya na kutunza kumbukumbu za mapato
  • Usulishi wa Benki nk
 2. Pencheni
 3. Bajeti
 4. Ukaguzi wa Ndani

 

 1. KITENGO CHA UHUSIANO

Majukumu.

 1. Kuwa kiungo kati ya Wizara na taasisi zake.
 2. Kuitanga Wizara na taasisi zake.
 3. Kuratibu na kusimamia shughuli mbali mbali za Wizara, ikiwemo vikao, mikitano ya ndani na nje pamoja na hafla za Wizara.
 4. Kuwapokea na kuwapatia huduma mbali mbali wageni wa Wizara.
 5. Kuwa kiungo kati ya Wizara na vyombo vya Habari.
 6. Kufuatilia vyombo vya Habari na Kuweka kumbukumbu kwa mambo yanayohusu Wizara.
 7. Kuweka na kusimamia mawasiliano ya ndani baina ya viongozi na wafanyakazi.
 8. Kutayarisha ripoti ya vipindi vya utekelezaji.
 9. Kuimarisha mahusiano na wadau ndani na nje ya nchi.

 

 1. KITENGO CHA UKAGUZI WA HESABU ZA NDANI

Majukumu

Kutoa huduma za uhakiki wa uhalisia wa thamani ya fedha (value for money) na matumizi sahihi ya na yenye ufanisi kwenye matumizi ya rasilimali za umma.

 

 1. Mapitio ya Taarifa za udhibiti wa matumizi
 2. Mapiutio na uhakiki wa uzingatiaji taratibu na mifumo ya kisherai ya fedha
 3. Ukaguzi wa Miiradi
 4. Mpango wa udhibiti wa mwaka – Annual Audit Plan

 

 1. KITENGO CHA TEHAMA.

Majukumu.

 1. Kuratibu uanzishwaji na utekelezaji wa mkakati wa mfumo wa mawasiliano ya Habari.
 2. Kushauri uongozi wa juu kuhusu matumizi bora ya mfumo wa mawasiliano ya habari “Hard ware and Software”
 3. Kuhakikisha kwmba mipango ya uanzishwaji na uendelezaji wa techonojia ya mawasiliano ipo katika hali nzuri na una gharama nafuu.
 4. Kusimamia muundo na mpangilio, sharia na taratibu katika kuendeleza na kutumia mfumo wa habari.
 5. Kuratibu maendeleo ya uhifadhi wa program katika kuhakikisha usalama wa taarifa.
 6. Kutunza kumbukumbu za matumizi ya mifumo ya kompyuta.

 

     6. KITENGO CHA SHERIA

 1. Kuishauri Ofisi kwenye masuala ya sheria.
 2. Kupitia na kuandaa nyaraka za kisheria za Ofisi.
 3. Kupokea malalamiko na kuyashughulikia.
 4. Kuratibu masuala ya Sheria.
 5. Kutoa elimu ya sheria kwa umma.

Mawasiliano yetu

Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale
Mnazi Mmoja, Zanzibar.
S.L.P 2277, Zanzibar.
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Tovuti: www.utaliismz.go.tz