IDARA YA UTALII

Majukumu ya Idara ya Utalii

Idara ya Utalii imeanzishwa kwa lengo la kuratibu na kuendeleza utalii wenye tija na manufaa kwa wananchi. Katika utekelezaji wa majukumu yake Idara ndio kiungo baina ya Wizara, Kamisheni ya Utalii na Wananchi. Majukumu ya Idara hii ni: -

  1. Kuhakikisha wananchi wanashiriki moja kwa moja katika shughuli za utalii katika maeneo yao;
  2. Kuratibu shughuli za Wizara zinazohusiana na Utalii;
  3. Kushirikiana na wananchi katika kuibua vyanzo vipya vya utalii.

Idara ya imegawika katika divisheni (2) ambazo ni maendeleo ya utalii pamoja na utafiti na takwimu

Mawasiliano yetu

Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale
Mnazi Mmoja, Zanzibar.
S.L.P 2277, Zanzibar.
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Tovuti: www.utaliismz.go.tz