Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale wakutana na Uongozi wa Tony Blair Institute for Global Change

Taasisi ya Tony Blair Institute for Global Change imekutana na Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale katika Ukumbi wa Wizara hiyo, na kufanya mazungumzo ya Kutaka kuisadia serikali katika kubadilisha mifumo na kuhakikisha sera na Mipango ya Serikali ya Awamu ya Nane itafanyika kwa Vitendo, maeneo muhimu ambayo taasisi hiyo ya Tony Blair Institute itawekeza nguvu zake ni pamoja na Sekta za Uchumi wa Buluu ikiwemo Utalii, Mafuta na Gesi baharini, Bandari na Uvuvi.

Mawasiliano yetu

Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale
Mnazi Mmoja, Zanzibar.
S.L.P 2277, Zanzibar.
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Tovuti: www.utaliismz.go.tz